Muziki
New Audio: Jaguar – Ndoto
Mbunge mpya kupitia Jimbo la Starehe nchini Kenya, Charles Njagua Kanyi maarufu kama Jaguar ameachia audio ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Ndoto’. Hii ni ngoma ya kwanza toka aingia katika siasa