Muziki
New Audio: Jallow ft Jamwe He – Unaguleke
Msanii wa muziki Bongo Flava, Jallow ameachia video yake mpya iitwayo ‘Unanguleke’ yenye maana ya Usianaiache kwa lugha ya Kimakonde huku akimshirikisha Jamwe_He. Audio ya ngoma hiyo imefanywa na Sheddy Clever katika studio za Burn Records