Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

New Audio: Jason Derulo ft Rayvanny X French Montana -TIP TOE Remix

Baada ya muda mrefu hatimaye kolabo kati ya Ray Vanny na msanii kutoka Marekani Jason Derula imetoka. Ngoma hiyo ambayo ni Remix kutoka kwa Jason inaitwa ‘Tip Toe’ akiwa amemshirikisha Ray Vanny kutoka WCB pamoja na French Montana. Isikilize hapa

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW