Muziki
New Audio: Jizzle Monster ft Tony Tavi & Chadala – Chap Chap
Msanii wa muziki wa hip hop, Jizzle Monster ameachia wimbo wake mpya ‘Chap Chap’ akiwa amewashirikisha wakali wawili, Tony Tavi & Chadala. Wimbo huo umeandaiwa na producer Mr T Touch.