Muziki
New Audio: Kacent X Barnaba – Boss Bebe
Msanii wa muziki kutoka label ya Power Entertainment, Kacent ameachia wimbo wake mpya ‘Boss Bebe’ akiwa amemshirikisha muimbaji, Barnaba. Wimbo huo umeandaliwa na producer Ace.