New Audio: King Sempa ft Lorenzo – Chapa

Msanii wa Rap Tanzania, King Sempa ametoa wimbo mpya uitwao ‘CHAPA’ ambao wimbo huo amemshirikisha Lorenzo msanii kutoka Sinza Music Group.

Wimbo huo umefanyika studio za SINZA RECORDS unatambulisha aina mpya ya mitindo ya Rap/ Hip Hop ya Tanzania. Tazama hapa kisha drop comment yako;

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW