New Audio: Lavic Ft Barnaba – Fitina

Msanii mpya wa kizazi kipya, Lavick amewachia wimbo wake mpya Fitina akiwa amemshirikisha muimbaji na producer kutoka High Table Sound, Barnaba Classic. Wimbo huo umeandaliwa na producer Awsome kutoka Free Nation.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW