Muziki
New Audio: Mansuli Ft Nuru The Light – Usiondoke
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Mansuli ameachia wimbo wake mpya ‘Usiogope’ akiwa amemshirikisha muimbaji, Nuru The Light. Audio imeandaliwa na producer Ammy na kufanyiwa mastering na Chizan Brain.