Muziki
New Audio: Minor Tone ft Baraka The Prince – Mtimawange
Msanii wa muziki Minor Tone ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Mtimawange’ akiwa amemshirikisha msanii Baraka The Prince. Wimbo umeandaliwa The Sound Production chini ya producer, Minor Tone akishirikiana na Bugaleez.
https://youtu.be/S9wRo-p4r2M