Muziki
New Audio: Nay Wa Mitego – Makuzi
Msanii wa Bongo Flava, Nay wa Mitego ameachia ngoma mpya ‘Makuzi’, zikiwa ni wiki mbili zimepita tangu alipotoa ngoma nyingine ‘Acheze’ ambayo alimshirikisha Rich Mavoko.
https://youtu.be/pjeXHm38pvA