Muziki

New Audio: OMG – Hallelujah (Remix)

Kundi la muziki la OMG wameachia remix ya Hallelujah, ngoma ambayo imefanywa na Diamond Platnumz pamoja na kundi la muziki la Morgan Heritage kutoka Jamaica. Producer S2kizzy ndiyo aliyohusika kutengeneza ngoma hii.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents