Muziki

New Audio: P Zone MC ft Chidi Benz – Waka

By  | 

Msanii wa muziki wa hip hop, P Zone MC ameachia wimbo wake mpya ‘Waka’ akiwa ameshirikiana na rapa mkongwe, Chidi Benz. Wimbo umeandaliwa na Winners Studio.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments