New Audio: Rae Sremmurd – T’d Up

Rae Sremmurd waachia wimbo mpya unaoitwa “T’d Up.” usikilize hapo chini. Muziki huo umetengenezwa na Metro Boomin pamoja na Darrel Jackson. Swae Lee na Slim Jxmmi kwa sasa wanaifanyiia kazi albamu yao SremmLife 3 na mtayarishaji Mike WiLL Made-It.

Na Raheem Rajuu

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW