Muziki
New Audio: Rama Dee – Kwa Akili Yangu
Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ‘Nibebe’, mkali wa muziki wa RnB Bongo, Rama Dee ameachia ngoma mpya inayokwenda kwa jina la Kwa Akili Yangu.
By Peter Akaro