Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

New Audio: Wizkid x Ceeza Milli x Spotless x Terri – Soco

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Wizkid ameachia audio ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Soco’ inayotarajiwa kuwa katika EP yake mpya ijayo iitwayo Made In Lagos, ngoma hiyo amewashirikisha wasanii wangine ambao ni Ceeza Milli,Spotless na Terri.Audio ya ngoma hiyo imetayarishwa na Northboi.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW