Muziki
New Music Audio: Tundaman – Toto
Msanii wa Bongo Fleva Kutoka Tip Top Connection, Tundaman ameachia audio ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘TOTO’. Mdundo wa ngoma hii umetengenezwa na Producer Zest.
Sikiliza audio hapa chini;
https://youtu.be/41uXutJr8mw