Burudani
New Music: B Six – Kangote
Msanii chipukizi kutoka Rock city, Barack Citta anayetumia jina la Bsix ameachia audio ya wimbo wake wa kwanza kwa jina Kangote. Mapishi ya audio yamefanywa Burn records na Sheddy Clever.
Sikiliza wimbo hapa chini kisha uache na comment yako kuhusu uwezo wa huyu dogo.
Na: Ted Agwa
Instagram@teddybway