Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

New Music: Belle 9 – Mzuri

Belle 9 amekuwa msanii wa kwanza mwenye jina kuunga mkono beats za msanii wa dancehall na producer, Jetman ambaye amepooza mgongo kiasi cha kuwa kitandani kwa miaka minne sasa. Mzuri ni sehemu ya riddim ya Amka na Jetman.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW