Aisee DSTV!
SwahiliFix

New Music: Best Life Music (Burundi) – Better Than

Best Life Music kundi la rap la nchini Burundi linaloundwa na, Young Dany, Young Jpy, Gms el magnifico, G kiboko na Mc Vitaa, linaendea na safari yake ya muziki licha ya hali nchini mwao kuwa tete.

Best Life Music - Better Than

Hakuna redio inayorusha matangazo, hakuna promo na hakuna shows.
Kundi hili limeachia ngoma yao ya saba ‘Better Than’ kutoka kwenye album yao mpya iitwayo ‘Arrependimento.’

Muziki wao unajumuisha vionjo vya hip-hop na Afro-pop. Wanarap kwa Kiingereza, Kirundi, Kifaransa na Kiswahili (by the way Kiswahili chao kimesimama sana).

Usikilize wimbo huo hapo chini.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW