Burudani
New Music: Big Jah Man f/ Fid Q & Saraha – Mabundi
Fid Q amemtangaza rasmi Big Jah Man kama msanii wa kwanza kwenye label yake ya Cheusi Dawa.
Utambulisho wake umeenda sambamba na kuachia kazi yake iitwayo Mabundi aliyowashirikisha Fid mwenyewe na Saraha.
Wimbo umetayarishwa na producer mchanga, Star Jay na mastering kufanywa na P-Funk Majani.