Burudani
New Music: Chris Bee f/ Neylee – Urudi
Muimbaji na mtangazaji wa kituo cha redio cha Bomba FM Mbeya, Chris Bee ameachia single yake mpya ‘Urudi’ aliyomshirikisha Naylee.
Pia ameachia remix ya wimbo wake ‘Wala Wala’ aliowashirikisha SILVIA, SAM FLAVOUR na FRAGA. Nyimbo zimefanyika katika studio za Uprise Music, chini ya producer FRAGA.