Muziki
New Music: Damian Soul f/ Nikki wa Pili & Switcher Baba
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, msanii Damian Soul ameachia ngoma yake mpya iitwayo ‘Data’ ambao amemshieikisha Nikki wa Pili na Switcher Baba. Wimbo huo umetayaishwa na S2KIZZY.