Muziki

New Music: Davido f/ R. Kelly – If (Remix)

By  | 

Baada ya ngoma ya If ya Davido kufanya vizuri zaidi ndani ya muda mfupi tangu alipoiachia mwezi February mwaka huu, muimbaji huyo amekuletea remix ya wimbo huo ambao amemshirikisha R.Kelly kutoka Marekani. Usikilize hapa chini.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments