Muziki
New Music: DCC f/ Eddy MC & BCP – Kumi na Sita Mara Saba
Wasanii kutoka kundi la muziki wa Hip Hop, DCC wameachia wimbo wao mpya uitwao ‘Kumi na Sita Mara Saba’ ambao wamemshirikisha Eddy MC na BCP. Usikilize hapa chini wimbo huo.