Burudani
New Music: Drake – 5am in Toronto (*Very Hot*)
Hii ni single mpya ya Drake, ‘5am in Toronto’, ambayo itakuwepo kwenye albam yake ijayo ‘Nothing Was the Same’. Ni ngoma kali iliyotengenezwa Bo1-1da na Vinylz.
Kuna mashairi ambayo moja kwa moja yanaonesha kumdiss Chris Brown. Isikilize ama kudownload hapa.