Muziki
New Music: Elly da Bway f/ Hennesseyy – Boss
Mtayarishaji wa muziki kutoka Home Town Records, Elly da Bway ameachia wimbo wake wa kwanza akiwa chini ya lebo ya Spacious Africa, unaitwa ‘Boss’ amemshirikisha Hennesseyy ambaye pia ndio mmiliki wa lebo hiyo. Video ya wimbo huo inatarajiwa kutoka hivi na imeongozwa na Mims, usikilize hapa chini.