New Music: Hennesseyy f/ Akil The Brain & Elly da Bway – Show Me Love

Mmiliki wa lebo ya muziki ya Spacious Africa ambaye pia ni rapper, Hennesseyy, ameachia wimbo wake wa kwanza unaoitwa ‘Show Me Love’ ambao amemshirikisha msanii mkongwe Akil The Brain na producer Elly da Bway. Usikilize hapa chini.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW