Burudani

New Music: Kendrick Lamar – The Blacker The Berry

Siku moja baada ya tuzo za Grammy kufanyika, rapper Kendrick Lamar ambaye alishinda tuzo mbili za ‘Best Rap Song’ na ‘Best Rap Performance’ kupitia single yake ya “i”, ametoa wimbo mpya “The Blacker The Berry”.

http://youtu.be/6AhXSoKa8xw

Jina la wimbo huo amechukua kutoka kwenye Novel ya mwaka 1929 ambayo ilikuwa inaitwa hivyo hivyo The Blacker The Berry.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents