Muziki
New Music : Lil Uzi Vert ft Nicki Minaj – The Way Life Goes
Rapper Lil Uzi Vert ameachia remix ya ‘The Way Life Goes’ aliyomshirikisha rapper wa kike Nicki Minaj. Kwa sasa Nicki Minaj anazidi kufanya vizuri kwani pia amesikika katika ngoma mpya ya kundi la Migos iitwayo ‘MotorSport’