Muziki
New Music: Master Jay f/ Babbi – Anga la Mapenzi
Kampuni ya Babbi Music Entertainment imekuletea wimbo mpya wa msanii wao, Master Jay ‘Anga la Mapenzi’ ambao amemshirikisha Babbi. Wimbo huo umetayarishwa na Mr T Touch.