Muziki
New Music: Nasty C ft Tellaman – Dance
Rapper kutoka Afrika Kusini Nasty C ameachia audio ya ngoma yake iitwayo ‘Dance’ na ameshirikisha mtayarishaji wa muziki na muandishi wa mashairi Tellaman,audio hiyo imetayarishwa na Nasty C mwenyewe.