Muziki

New Music: Nemo – Kipotabo

Baada ya kukaa kimya kwa zaidi ya miaka miwili, msanii Ne-Mo ameachia wimbo wake mpya ‘Kipotabo’. Wimbo umetayarishwa na Man Walter kutoka Combination Sound. Usikilize wimbo huo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents