Neylee ameachia wimbo unaoweza kuja kuwa maarufu kwenye harusi nyingi za Kibongo. Wimbo unaitwa Nishike Mkono (Wedding Day) unaoonesha uwezo wake mkubwa katika uimbaji. Usikilize hapo chini.
Join our mailing list to get the latest news!
Related Articles
Check Also
Close
-
Tanzia: Baba yake mzazi na Belle 9 afariki dunia kwa kugongwa na boda bodaApril 18, 2017 - 10:18 am