Burudani
New Music: OTuck f/ Hancepuff – Throwback
Muimbaji wa R&B, Otuck William ameachia kazi mpya iitwayo ThrowBack, ikiwa ni single ya tatu kutoka kwenye EP yake iitwayo Anything And Everything.
Wimbo umetayarishwa na Gachi B na Nach B. Mtazame hapo chini akiuzungumzia wimbo huu.