Muziki
New Music: Tanzania All Stars – Tunawaombea
Wasanii wa muziki wameungana pamoja na kuandaa wimbo maalum wa kuomboleza vifo vya wanafunzi 32, walimu wawili pamoja na dereva. Audio imeandaliwa Kaburu Entertainment.