Habari

New Music: Tiri feat. K’Cous ‘MASH UP’

Member mpya wa kundi la Camp Mulla kutoka Kenya aitwaye Tiri ametoa single yake mpya ya R&B iitwayo ‘MASH UP’ ambayo imetengenezwa na producer wa kundi hilo K’cous a.k.a Kus_Ma anayesemekana ni boyfriend wake. Ingia uisikilize

tiri3

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents