New Music Video: Diamond Platnumz ft Miri Ben-Ari – Baila

Diamond Platnumz ameachia video ya wimbo wake wa Baila aliomshirikisha nguli wa piano duniani, Miri Ben-Ari kutoka Marekani.

Wimbo wa Baila unapatikana kwenye album yake ya A Boy From Tandale na ni moja ya nyimbo ambazo zilikuwa video yake ilikuwa inasubiriwa kwa hamu.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW