Videos
New Music Video: Hemedy Phd – Mkimbie
Msanii wa Bongo Fleva, Hemedy Phd ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Mkimbie’ kichupa kimeongozwa na Khalfani khalmandro na audio imetengenezwa Sei Records. Tazama kichupa kisha acha comment yako hapa chini