Shinda na SIM Account

New Music Video: Shetta ft G Nako – Vumba

Msanii wa Bongo Fleva Shetta ameachia video ya wimbo wake mpya wa Vumba akiwa amemshirikisha rapper G Nako kutoka Weusi. Tazama Video hapa chini kisha acha maoni yako

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW