Videos

New Music Video: Tekno – Only One

Msanii wa muziki kutoka Nigeria, Tekno ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Only One’ ambao ametoa kama zawadi kwa mashabiki wake ikiwa leo Desemba 17, 2017, anasherehekea siku yake ya kuzaliwa. Tazama kichupa hapa chini kisha acha Comment yako juu ya wimbo huo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents