MuzikiUncategorized
New Music: Watatu Fleva – Penzi Zigo la Roho
Watatu Fleva ni kundi la Music toka kisiwani Zanzibar wameachia wimbo wao mpya ‘Penzi Zigo la Roho’, wimbo huo umetayarishwa na Imma Mi8 katika studio za Mi8 Records kisiwani humo.
Na Laila Sued