Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

New Music: Wizkid f/ Future – Everytime

Msanii Wizkid ameachia wimbo wake mpya ‘Everytime’ ambao amemshirikisha rapper Future kutoka Marekani. Mpaka sasa tayari Wiz ameshafanya kazi na mastaa kadhaa wa Marekani akiwemo Chris Brown, Drake na Ty Dolla $ign. Usikilize hapa chini wimbo huo.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW