Soka saa 24!

New Music: Yamoto Band – Nitakupwelepweta

Viaja kutoka Mkubwa na Wanawe wanaojulikana kama Yamoto Band wameachia Track yao mpya inaitwa “NITAKUPWELEPWETA” mbayo inafunga mwaka 2014 na kuukaribisha mwaka 2015.

Track imefanyika katika studio za Mkubwa na Wanawe chini ya Producer Shirko isikilize kisha kama unamaoni au ushauri tuachie comment yako hapo chini.

Related Articles

Check Also

Close
Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW