Muimbaji wa zamani wa kundi la Uingereza la One Direction, Zayn Malik anaendelea kutafuta nafasi nchini Marekani. Baada ya kushirikishwa na Chris Brown kwenye remix ya Back to Sleep, amerejea na remix ya wimbo wake Pillow Talk akimshirikisha Lil Wayne.
https://www.youtube.com/watch?v=p3tnlCm5xek