Burudani
New Song: Jaffarai ft. Kassim Mganga – Wakati
Rapper Jaffarai amevunja ukimya kwa kudondosha ngoma mpya ambayo kamshirikisha Kassim Mganga. Wimbo unaitwa Wakati na umetayarishwa na Aloneym.