Habari

New Song: Jiwe ft Baba Levo – Sijui Kuhandle


Kazi imefanyika SHINE PRODUCTION chini ya PRODUCER MR T TOUCHEZ. Video ya ngoma hiyo inatarajia kuwa tayari Jumatano ya next week nayo imefanyika hapo hapo SHINE VID’Z chini ya Dir GOBA FRED, hii ni project ya pili kuwa released baada ya ngoma ya A STORY ya BAGHIDAD ambayo ndo ilianza na kufuatiwa na hii ya sijui kuhandle ambapo video ya BAGHIDAD imekwisha toka while movie yake inaanza kufanyiwa shooting so soon.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents