Burudani
New Track kwa Dogo Janja, huku akisubiri mtihani kidato cha pili
Mwanamuzki kutoka pande za Tip Top Dogo Janja, ametoa wimbo wake mpya wa Siri zao, akiwa na Chege. Kiongozi wa kundi la Tip Top Madee, amesema hivi sasa dogo huyo hatoingia studio mpaka kipindi cha likizo kwakuwa mtihani wa kidato cha pili umerudishwa.
Dogo Janja feat Chege- Siri Zao
{mmp3}Dogojanjaftchege-sirizao.mp3{/mmp3}