New Video: Afro Maniac ft. Raymond TipTop – Waombe Poo
Video mpya kutoka kwa Afro Maniac ambaye yupo chini ya usimamizi wa Big Ent hii ni video yake ya pili katika wimbo huu amemshirikisha Raymond kutoka Tip Top wimbo unaitwa “Waombe Poo” video imeongzwa na Kevin Bosco JNR kutoka Kenya