Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

New Video: Afu G ft Zill – Oyeye

Msanii wa muziki, Afu G baada ya kufanya vizuri na wimbo Mama Africa na Doa ameachia wimbo wake mpya ‘Oyeye’ akiwa amemshirikisha Zill. Rapa huyo ni mmoja kati ya wasanii wanaokuja kwa kasi nchini.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW