Habari

New Video: Alpha Feat. La’Myia Good – HEAVEN (Official Video)

Hii ni video mpya ya mshindi wa Tusker Project fame 3 na Project fame All stars Alpha Rwirangira kutoka Rwanda, aliyemshirikisha La’Myia Good kutoka Marekani. La’Myia Good ndiye aliyeshirikishwa na AY katika ‘Speak With Your Body’ pia ni dada wa mwigizaji maarufu Meagan Good.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents